Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Akothee atunukiwa Digrii ya Biashara

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee hatimaye amehitimu masomo yake katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya ambapo ametunukiwa Shahada ya Kwanza Katika Usimamizi wa Biashara.

Akothee ameweka wazi hayo katika ukurasa wake wa Instagram ambapo pia amebainsiha kuwa ameisaka safari hiyo ya elimu ya Usimamizi wa Biashara kwa muda wa Miaka 14.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *