Usiku wa kuamkia jana staa wa muziki Harmonize alikuwa miongoni mwa mastaa waliofika katika uzinduzi wa nyumba mpya ya mwanamitandao Mwijaku.
Harmonize alifika nyumbani kwa Mwijaku, Kigamboni akiwa na timu yake ya Konde Gang.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz