Usher ana tuzo nane za Grammy, ila hazijawahi kutangazwa hadharani

Staa wa muziki kutoka Nchini Marekani, Usher ambaye hivi karibuni amekiwasha kwenye Super Bowl Halftime amefunguka kuwa katika tuzo nane za Grammy alizopata hamna hata moja ambayo inaonyeshwa ama kutangazwa kwenye TV.

Usher amesema hayo kupitia mahojiano aliyofanya na CBS Morining, huku akibanisha kuwa hakuna hata siku moja amewahi kutajwa hadharani iliaweze kutoa shukurani zake kutokana na ushindi aliyoupata.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *