Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Uchumi wa Nigeria ni kivumbi, RudeBoy analia

Staa wa muziki kutoka Psquare, Rude Boy amelalamikia suala la uchumi kudorora na kupeleka ongezeko la bei kwa bidhaa ikiwemo petroli ambapo kwa mwezi anajikuta akitumia Naira Mil.3 ambazo ni sawa na Tsh/=9,901,190.33 kununua mafuta pekee.

“Nilinunua gari langu la kwanza la Naira 120k miaka iliyopita na nilijivunia hilo… Sasa ninatumia naira Milioni 3 kununua dizeli kwa mwezi mmoja tu… huu ni wazimu kabisa. Mungu pekee ndiye anayejua kile ambacho mwanadamu wa kawaida wanapitia,” ameandika staa huyo Instagram

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *