Picha rasmi za Rais mteule wa Marekani, Donald Trump zimetolewa rasmi ikiwa ni siku chache kabla ya kuapishwa siku ya Jumatatu.
Sura ya Trump kwenye picha hizi rasmi haonekani kucheka wala kutabasamu jambo ambalo limetafsirika kuwa ‘Hacheki na wowote’ kwenye nafasi yake ya Urais anaoenda kuapishwa rasmi Januari 20.