Klabu ya Soka ya Yanga imetolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kutoka sare dhidi ya MC Alger, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ili kusonga mbele katika hatua ya robo fainali, Yanga SC ilihitaji alama tatu.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz