Msanii wa Bongo flava kutoka Lebo ya Kingsmusic, Tommy Flavour ameweka wazi kuwa Julai 28 mwaka huu ataachia albamu yake aliyoiita “Heir To The Throne” (Mrithi wa Kiti cha Ufalme).
Album hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo 16 na kolabo kadhaa za ndani na nje ya nchi.