Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Tommy Flavour kuachia albamu Julai 28 mwaka huu

Msanii wa Bongo flava kutoka Lebo ya Kingsmusic, Tommy Flavour ameweka wazi kuwa Julai 28 mwaka huu ataachia albamu yake aliyoiita “Heir To The Throne” (Mrithi wa Kiti cha Ufalme).

Album hiyo itakuwa na jumla ya nyimbo 16 na kolabo kadhaa za ndani na nje ya nchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *