TANZIA: HASHIM LUNDENGA AFARIKI DUNIA

Mratibu wa zamani wa mashindano ya Ulimbwende (Miss Tanzania), Hashim Lundega amefariki dunia.

Lundenga amefariki hii leo Aprili 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Enzi za uhai wake, Lundenga alisimamia mashindano hayo ya urembo kwa mafanikio kiasi yalipata umaarufu kila kona na kuibua vipaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *