Simi anamajibu kwa wasiokata kusikiliza nyimbo zake

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Simi, amewajibu mashabiki wanaomtaka abadili mtstaili yake ya muziki.

Simi amekutana na hali hiyo katika ukurasa wake wa X baada ya kushare video yake akiimba moja ya nyimbo zake mpya na  ndipo shabiki mmoja aliandika kumtaka “kubadilisha” sauti yake na ndipo mkali huyo wa ;’Duduke’.

Shabiki aitwaye @Zeebaby_X aliandika, “Girlll ibadilishe kidogo… badilisha sauti yako.”Mume wako anabadilisha sauti yake na inashangaza kuona. Fanya vivyo hivyo wewe ni mzuri sana kufanya mambo ya msingi.”

Simi akajibu ” Kama sauti yangu haivutii basi unaweza kusikiliza nyimbo zingine.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *