Ni miaka 10 sasa tangu staa wa muziki na Bilione Rihanna alipoamua kubadili muonekano wa Profile Picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambao ana wafuasi zaidi ya Milioni 150.
Kwa sasa Rihanna ameweka picha ya bidhaa yake badala ya ile ya awali ambayo alikuwa ameweka mdoli (Katuni) ambayo wengi waliizoea katika kipindi chote alichoamua kuitumia.