Rema atajwa kuwa na mahusiano na staa wa Marekani

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Rema ametajwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na nyota wa muziki kutoka nchini Marekani Justine Skye, baada ya wawili hao kuonekana pamoja kanisani wikiendi iliyopita Mjini Lagos.

Katika video inayosambaa mtandaoni wawili hao walionekana wakiingia pamoja nyumba hiyo ya ibada huku pakiwa na ulinzi mkali dhidi yao na walikuwa na baadhi ya memba wa Mavin Record.

Mnamo mwezi Agosti 2023, kwenye kumbukizi ya kuzaliwa Skye tetesi zilikuja kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano kufuati namna walivyokuwa kwenye sherehe ya kuzaliwa mrembo huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *