RAIS SAMIA AMTEUWA JAJI MASAJU KUWA JAJI MKUU WA MAHAKAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hii leo Juni 13, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka imeeleza kuwa Masaju anachukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *