Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kuboresha utendaji kazi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Naibu Makatibu Wakuu,Mkuu wa Wilaya,Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Majaji wa Mahakama Kuu.





Bi. Zuhura Abdallah Yunus ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu) kabla ya Uteuzi huu Bi. Zuhura Yunus Alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.
4 responses to “Rais Samia Afanya Uteuzi,Zuhura Yunus,Nyongo Wachomoza”
Naitwa kurwa rashid Ally nipo kigamboni dsm shidda yangu mimi mnyonge nimeongezewa unyonge mkubwa mpaka kutembea siwezi ulemavu naiomba serikali anisaidie kufuatilia malalamiko yngu nimeandika kupeleka ikulu tokea mwaka jana mwezi wa 12 mpaka Leo hii kimya inaniumiza moyoni poul makonda aligoma kunisaidia mzee nassoro aligoma nisimjuze mheshimiwa waziri mkuu Qaasim majaliwa yeye alikua balozi nchini misri
Mimi nnayo shidda yangu kubwa nimegongwa na gari kupatiwa ulemavu mkubwa mpaka kutembea siwezi dereva hakua anayo lesseni hai wakati wa ajali hivyo akafanya mipango kesi iondoshwe mahkamani ikaondoshwa kariako bila msaada wowote ule kutoka kwao sina wazazi wangu walikufa nikiwa mdogo 13 nimeandika kupeleka ikulu kusikilizia suala langu malalamiko yngu kwake mheshimiwa Rais tokea 12 mwezi mwaka jana mpaka Leo hii kimya namimi nateseka maisha yngu magumu zaidi sina wazazi kutembea siwezi poul makonda aligoma kunisaidia nikiwa chuo misri afcone mzee nassoro aligoma nisimjuze mheshimiwa waziri mkuu Qaasim majaliwa tukiwa hotelin misri naiomba serikali inisaidie tatizo langu kubwa huu mwaka 15 tena nateseka nimesoma ngazi ya degree ya ddini lkn sina furahaa ingekua inaruhusiwa nitamani kufa ningetamani lkn sio ruhusa nipo kigamboni lipo group la CCM walikuepo mawaziri wabunge wanahitaji kujua mwisho wake tatizo hili yupo admn anaitwa biwaka yeye mwenyewe kiongozi mkubwa anasema akafuta ujumbe wangu usiwafikie viongozi wetu wapendwa wakubwa
0712962689
Mimi sijaiomba hii hali mipango yke MUNGU mwenyewe binafsi mwisho wa siku maisha yapo mengine baada ya maisha haya niliyotendewa vyombo vya sheria vinasimamiwa na wanaadam wanaadam wenyewe kila mmoja anafanya apendavyo bila kujali utu mheshimiwa Rais mama Samia suluhu hassani wewe ndio msimamizi wetu mpendwa nakuomba kwa utulivu wako usikivu wako unisaidie tatizo kubwa hili Langu Nakuomba unisaidie