Rais Samia Afanya Uteuzi,Zuhura Yunus,Nyongo Wachomoza

Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kuboresha utendaji kazi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Naibu Makatibu Wakuu,Mkuu wa Wilaya,Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Majaji wa Mahakama Kuu.

Bi. Zuhura Abdallah Yunus ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu) kabla ya Uteuzi huu Bi. Zuhura Yunus Alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *