Kwa hili hata wewe ungekataa

Rapa Lil Wayne amelikataa sanamu lenye mfanano wake ambalo limetengenezwa na Hollywood Wax Museum na kusema sio yeye kwa asilimia kubwa japo wamejitahidi.

Wewe ukilitazama unadhani wamekosea au wamepatia?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *