Yanga waitandika Azam goli 3

Na mpira umekwisha huku Aziz KI akiibuka kinara wa magoli kwa leo kwa kufunga  goli tatu dhidi ya Azam FC, ambao wamefunga goli 2 na goli zimefungwa na Syllah the killer na Prince Dube.



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *