Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

‘Kuanzia Leo Usiniite Msanii Wa Bongo Fleva’ – Harmonize

CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize kupitia mtandao wa Instagram amepost Insta stories akiwataka Watu wasimuite msanii wa Bongo fleva badala yake waingie youtube na sehemu yenye nyimbo za Bongo Fleva kama kutakua na wimbo ulioimbwa kwa Kiingereza (English) iliyotoka mwaka huu basi mtu huyo akachukue Milioni Kumi kwake.

Harmonize kwenye post hiyo ameandika ‘

OKY HAPO HAPO ULIPO SASAHIVI INGIA YOUTUBE NA SEHEMU YEYOTE INAYO PATIKANA NGOMA ZA BONGO UKIKUTA NGOMA YA MSANII YEYOTE WA TANZANIA
ILIYOIMBWA ENGLISH ILIYOTOKA MWAKA HUU NJOO
CHUKUA 10M AU NGOMA YEYOTE YA MSANII TOKA TANZANIA FT ANY USA ARTIST IN 4 YEARS !!!!USIPOIKUTA BASI KUANZIA LEO USINIITE MSANI WA BONGOFLEVA
KWASABABU UTAKUWA UNACHANGANYA MAJI NA MAFUTA !!!!!!
ALL OF THEM BN SINGING MY FAVORITE LANGUAGE CALL ME TANZANIA ARTIST
AU KONDEBOY NUMBER NAHIVI SINA SHIDA NA MTUU KILAMTU ASHINDE GAME ZAKE TUONE MWENYE MCHANGO MKUBWA !! TANZANIA TO THE TOP’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *