Mapromota wa muziki wanatishia kutatiza tamasha kubwa la mwimbaji wa Kongo Koffi Olomide lililopangwa kufanyika nchini Kenya siku ya Jumamosi kwa sababu ya deni la 2016.
Mapromota hao wanasema nyota huyo mwaka 20216 alikiuka masharti ya mkataba wa tamasha la ambalo lilipangwa kufanyika Mwezi Machi na sasa wanataka arudishe dola 65,000 sawa na Tsh/= Milioni 162,825,002.78
Olomide alizuiwa mwaka 2016 kutumbuiza, Kenya kwa madai ya kumpiga mmoja wa wacheza densi wake wa kike.