Kabla ya Super Bowl Halftime, Usher alifunga ndoa kimya kimya!!

In case You did know!! Kabla ya kutumbuiza kwenye Super Bowl Halftime,Jumapili ya Februari 11, huko Las Vegas, staa wa RnB Usher Raymond alifunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu Bi. Jenn Goicoechea.

Wawili hao wamebarikiwa kupata Watoto wawili na mahusiano yao yalianza mwaka 2019.

Usher ameshare picha za harusi yake usiku wa kuamkia leo,katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.

Ikumbukwe pia Usher hivi karibuni anatarajia kuachia albamu yake mpya iitwayo COMING HOME!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *