Baada ya msanii wa muziki Beka Flavour kuonesha niya ya kutaka kurudiana na mzazi mwezake Happiee hivi karibuni, hatimaye mrembo huyo kupitia Instastory yake amejibu juu ya uwezekano wa kurudiana na mwezake ila kwa sasa ni mpaka atalowe naye mahari ndio watarudiana na kuendelea na Maisha.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz