Drake aweka historia mpya Spotify

Rapa Drake ameweka historia mpya ya kuwa msanii wa kwanza ya kufikisha jumla ya wasikilizaji (streams) zaidi ya bilioni 90 katika mtandao wa Spotify.

Rapa huyo aliwahi kuwa msanii wa kwanza kupata wasikilizaji bilioni 50 na bilioni 75 kwenye mtandao huo. Je, unahisi ni msanii gani mwingine atafuatia kufikisha wasikilizaji hao?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *