Staa wa muziki kutoka Amerika Kusini, Daddy Yankee, ametangaza rasmi kuachana na muziki na sasa ana mrudia Mungu zaidi.

Yankee alimesa hayo Desemaba 3 katika tamasha lake La Meta (The Goal), lililofanyika huko nchini kwao Puerto Rico.
Staa anaungana na aliyekuwa memba wa kundi la The Mafik, Rhyno Kings ambaye kwa sasa ametangaza kuachana na muziki wa Dunia anafanya muziki wa Kumshukuru Mungu.
