Uongozi wa timu ya Ihefu imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja Mkataba na aliyekua Kocha wetu Mganda Moses Basena.
Ihefu hawajashinda mchezo wowote chini ya mwalimu Basena na kwenye mechi 8 za mwisho wamesare 4 na kupoteza 4
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz