Chino Kid anunua gari ya Milioni 200

Staa wa muziki na Dansa maarufu nchini Tanzania Chino Kid ameshare picha na videos za Gari mpya aina ya Land Cruiser VX maarufu kama V8 kwenye ukurasa wake wake wa ya Instagram na kuandika ‘BLESSING   🏡 🚘 WHITE HOUSE WHITE CAR’.

Mbali na hizo picha, pia kuna video nyingine ya influencer wa mitandaoni Dotto Magari inayomuonyesha akimpongeza Chino kid kwa kununua Gari hiyo mpya ambayo bado haijatwa thamani yake mpaka sasa, ingawa kwa makadirio Gari hiyo inatajwa hakuuzwa kuanzia Milioni 200 za Kitanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *