
Saa kadha ziilzopita staa wa muziki kutoka Nigeria, @davido ameshusha chuma/cheni mpya ambayo itakaa kwenye shingo yake na imetajwa kuwa na thamani ya Naira Milioni 577 sawa na Bilioni 1.86 za Kibongo,
Sifa za cheni hiyo ambayo imetengenezwa na Local Kettle Brothers UK Jewelers ina almasi ya 350ct, yenye uzito wa kilo 1.5. Unaambiwa hii kajizawadia tu kwa kuwa Albamu yake ya Timeless imefanya vizuri.