Billnass akutana na Roma Marekani

Staa wa muziki Bongo BillNass ameshare picha akiwa na rapa Roma ambaye anaishi nchini Marekani kwa sasa. Wawili hao wamekutana nchini humo hivi karibuni.

Miaka minne iliyopita Billnass alichia kazi ya pamoja na Roma iitwayo Funga Mageti ambayo mpaka sasa inawatazamaji Laki 821 katika mitandao wa YouTube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *