Miongoni mwa sababu zilizopelekea Patrick Amenuvor, raia wa Ghana kushindwa kuweka rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kusimama muda wa wiki moja ni kukatika kwa umeme hayo yameabinishwa na uongozi wa mtu huyo.
Patrick alikuwa amepanga kutulia kwa wiki nzima, kutimiza rekodi hiyo ila alijikuta akitumia muda wa saa nne tu.