Baby Daddy wa Rihanna, ASAP Rocky ameteuliwa kuwa mkurugenzi mbunifu na ushirikiano wa PUMA na Formula 1.

Katika mahojiano aliyofanya na Complex, Rocky ameweka wazi kutamani pia mashabiki zake wapate kile wanachokiona kwake “Nataka mashabiki waweze kuvaa nguo zilezile wanazoziona kwenye nyimbo zangu katika maisha yao ya kila siku.”