Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Simba ‘Bob Junior’ aombewa kutengenezewa filamu

Mbunge wa Hai Saashisha Mafue (CCM) ameihoji Serikali ni lini itaandika au kutengeneza filamu kuhusu ukoo wa Simba Bob Junior. Licha ya simba huyo kuuawa na wenzake, lakini bado anaonekana kuwa maarufu kwa na wabunge wanataka awekewe kumbukumbu ya kudumu.

Mafue amesema historia hiyo inaweza kuwa kivutio kikubwa kutoka kwa wageni na watalii wanaotembelea nchini Tanzania ili waweze kujua historia yake.

Hata hivyo, Naibu Waziri wa Michezo na Utamaduni Hamisi Mwinjuma amesema jambo hilo linahitaji ushirikishwaji wa pamoja kati ya wizara mbili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *