50 waliofariki kwenye mafuriko kuagwa leo

Miili ya watu 49 waliofariki kwenye mafuriko Hanang, kuagwa leo saa 10 jioni katika Viwanja vya Shule ya Msingi Katesh, zoezi litakaloongozwa na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *