PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika matukio tofauti kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es salaam wakati aliposhiriki hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 toleo la Mwaka 2024 leo Mei 19, 2025.





