Baada ya kwenda dakika 90‘ bila kufungana, Yanga na Simba kwenye Ngao ya Jamii iliyochezwa, usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani-Tanga, hatimaye mchezo huo umekamilika kwa mikwaju ya Penati ambapo Simba amepata 3, Yanga 1
Yanga mshindi wa Pili
Azam mshindi wa tatu
Singida FG mshindi wan nne.