๐ ๐ธ๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐น๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฟ๐ถ๐ป๐ด๐ฎ, ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ ๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ฎ ๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ถ๐บ๐ผ ๐ธ๐๐๐ต๐๐ต๐๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐๐ผ๐ฒ๐๐ถ ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐ ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฑ๐ต๐ถ ๐ฒ๐ป๐ฒ๐ผ ๐น๐ฎ ๐๐ท๐ฒ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ฟ๐ฎ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐ฆ๐ธ๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐จ๐บ๐๐ฎ๐ด๐ถ๐น๐ถ๐ฎ๐ท๐ถ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ท๐ถ๐ท๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐น๐ฎ๐น๐ถ.
Akizungumza katika mkutano huo, DC James amesema mradi huo utajengwa kwa gharama ya Tsh. 13,462,984,502.00/=, Mkandarasi akiwa ni M/S GNMS Construction Ltd na atatekeleza mradi huo kwa muda wa Miezi 18 chini ya usimamizi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji.

Amesema, mradi huo ukikamilika Utaongeza eneo la kilimo kutoka ekari 125 mpaka ekari 1250, Pia utaongeza uzalishaji, Ajira, Kukuza pato la wakulima na kufungua fursa zingine za kiuchumi.
Naye Meneja wa Tume ya Umwagiliaji Mkoa wa Iringa, Mha Peter Konaay amesema mradi huo utahusisha ujenzi wa Mifereji, Barabara za mashambani, Vijengwa, Ofisi ya Umwagiliaji na nyumba ya Meneja wa Skimu.