Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Simba SC sasa watakutana na vigogo wa Misri, Al Masry baada ya kukamilikwa droo iliyochezeshwa hii leo Februari 20, 2025.

Kwa martini hiyo, sasa mshindi wa robo fainali kati ya Al Masry dhidi ya Simba SC atachuana na mshindi kati ya Stellenbosch na Zamalek katika hatua ya nusu fainali.
TIMU ZA ROBO FAINALI HIZI HAPA.
Al Masry 🇪🇬 Vs Simba SC🇹🇿
Asec Mimosas 🇨🇮 Vs RS Berkane 🇲🇦
Stellenbosch 🇿🇦 Vs Zamalek 🇪🇬
CS Constantine 🇩🇿 Vs USM Alger 🇩🇿