Siku tatu zijazo staa wa Muziki wa Bongofleva Jay Melody anatarajia kuachia albamu yake mpya na ya kwanza iitwayo “Therapy” itakayokuwa na jumla ya ngoma zipatazo 14.
Jay Melody ameweka wazi orodha ya ngoma hizo huku kati ya hizo ngoma mbili pekee amefanya kolabo, miwa 12 iliyobaki akiwa ameigonga mwenyewe.