Meneja habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally asubuhi hii ameandika kwamba,Dhahabu hupitishwa kwenye moto mkali ili ipate thamani na iwe bora
Licha ya kuwa huteseka inapopita kwenye moto huo lakini mwishoe hubaki safi, bora na thamani yake huongezeka maradufu
Wana Simba tuvumilie kupita kwenye moto huu mkali ili tuwe bora na hadhi yetu irejee
Najua maumivu ni makubwa kwa kua moto mkali lakini hatuna budi kuvumilia kwani ndio njia pekee ya kurudi kwenye thamani yetu.
This time soon💪🦁
Mwanasimba Umeupokeaje ujumbe huu?