Miili ya watu 49 waliofariki kwenye mafuriko Hanang, kuagwa leo saa 10 jioni katika Viwanja vya Shule ya Msingi Katesh, zoezi litakaloongozwa na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz