Mtandao wa Africa Fact Zone, umetaja orodha ya wasanii 10 wakike , Barani Afrika ambao wanaoongoza kuwa na subscribe/ Wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Youtube
1. Sherine – 5.23 million
2. Zina Daoudia – 3.63 million
3. Zuchu – 3.23 million
4. Tyla – 3.21 million
5. Yemi Alade – 2.34 million
6. Sinach – 2.23 million
7. Salma Rachid – 1.96 million
8. Manal – 1.83 million
9. Ayra Starr – 1.78 million
10. Tiwa Savage – 1.38 million
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz