Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Zuchu na Nandy wakutana studio

Si umeona video ya mastaa wa muziki nchini wakiwa studio, hapa namzungumzia Nandy, Zuchu, Shilole, Abby Chams, Appy, Zee Cute, Yammy na wengineo walikuwa studio za Wanene wakirekodi ngoma ya pamoja itakayoenda kutumia hivi karibuni.

Mbali na mastaa hao wa kike pia alikuwepo D Voice  na Mbosso.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *