Staa wa muziki kutoka Lebo ya WCB,Zuchu ameweka wazi kuwa kwa sasa anapitia changamto ya kiafya kwa kupata maradhi.
Zuchu ametoa taarifa hiyo katika ukurasa wake wa mitandao wa kijamii wa Instagram, ila hajabainisha nini hasa kinamsumbua.
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz