Zuchu anatarajia kuachia Albamu

Baada ya Jay Melody kuachia Albamu yake ya Therapy! Sasa ni zamu ya Zuchu, ambaye amesema albamu yake kamwe hautaiskip!!!


Ikiwa ni miaka minne (4) sasa tangu alipotambulishwa kwenye lebo ya #WCB na kutikisha anga za Kimataifa kwenye muziki, kwa mara ya kwanza Zuzhu ametangaza ujio wa Album yake ya kwanza.


Zuchu anasema ngoma zilizopo kwenye Album yake ni kali mno na hautaweza kuziskip….

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *