ZIFAHAMU NYIMBO ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI NA ZITTO KWA MWAKA 2024, LIST KAMILI IPO HAPA….

Kiongozi Mkuu Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na aliyewahi kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini baadae Kigoma Mjini Mh. Zitto Zuberi Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii ametoa playlist ya nyimbo za Bongo Fleva alizosikiliza zaidi kwa mwaka 2024.

Kwenye post yake ya mtandao wa X (Zamani Twitter) Zitto ameandika >>’Mwaka 2024 nimesikiliza sana muziki wetu #BongoFlava. Nyimbo hizi 10 ndizo zilikonga moyo wangu zaidi’ – Zitto Kabwe.

Nyimbo hizo ni Pamoja na 

  1. Raha – Diamond Feat. Zuchu
  2. Pwita – Zuchu
  3. Kipofu – Chege Feat. Alikiba
  4. Yule RMX – Ay feat. Marioo
  5. Mapozi – Diamond Ft. Mr. Blue &Jay melody
  6. Natamba nae – Phina
  7. Dah – Nandy Feat. Alikiba
  8. Huku – Alikiba & Tommy Flavor
  9. Zamani – Founder TZ
  10. Yesa – Chino Kid

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *