Zifahamu faida za kunywa chai

Wapo baadhi yetu sisi binadamu tunatumia chai kama sehemu ya kifunguwa kinywa chetu.Lakini pia nakujuza chai inaweza kuwa sehemu ya kinywaji chako cha kiburudisho kama vile unavyokunywa juisi au mvinyo.

Chai haina wakati maalumu kunywa kama unataka kuboresha afya yako, Ngozi na muonekano wako. Basi utatumia chai kadri uwezavyo.

Na chai inatajwa kuwa na faida lukuki kama vile :-Hupunguza hatari ya kupata shambulizi la moyo na stroke, Husaidia katika kupunguza uzito, Huimarisha na kuboresha afya ya mifupa, Huboresha afya ya meno, Huimarisha mfumo wa kinga, Husaidia katika kupambana na saratani na Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *