ZARI: Nilidhani nitaolewa na Tajiri

Katika mahojianio aliyofanya na BBC Swahili, mfanyabiashara na mwanamitandao kutoka nchini Uganda Zari The Boss Lady ambaye ni mzazi mwenzake na Diamond Platnuma amefunguka kuwa katika Maisha yake alijua ipo siku ataolewa na Tajiri ila alipokuja kugundua anataka Maisha mazuri basi alilazimika kufanya kazi kwa bidii.

“Nilidhani nitaolewa na tajiri, lakini nikagundua sio rahisi hivyo, nikalazimika nifanye kazi kwa bidi sana iliniweza kuwa na vile ninavyovitaka,” amefunguka mrembo huyo mwenye ushawishi ambaye anaishi Afrika Kusanini

#Source BBC SWAHILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *