Zari na Shabik warudiana

Mfanyabiashara na mwanamitandao Zarina Hassan , Zari The Boss Lay amerudiana na mumewe Shakib Cham baada ya wawili hao kudaiwa kuhitalafiana wiki kadhaa huku chanzo kikitajwa Ni Diamond Platnumz baba wa Watoto wawili wa zari .

Kupitia Instastory Shakib Cham ame-share picha mpya akiwa na mkewe huyo nchini Saudi Arabia na wawili hao wameonekana wenye furaha zaidi tofauti na ilivyotafsiriwa hapo awali baada ya Shakib kufanya mahojiano na vyombo vya habari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *