Mfanyabiashara na mwanamitandao Zarina Hassan, maarufu kama Zari The Boss Lady amefunga ndoa na mpenzi wake Shakib Cham, usiku wa kuamkia leo.
Wawili hao wamefunga ndoa ambayo imeudhuriwa na watu wao wa karibu ikiwemo baadhi ya washiriki wa Young African and Famous kama vile Fantana