Zanzibar Yaanza Mchakato Wa Uchimbaji Mafuta na Gesi Asilia

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza kukamilika kwa mchakato wa kuchakata Data kutokea Tanzania Bara na sasa imeanza ugawaji rasmini wa maeneo (Vitalu) kwa kazi ya Uchimbaji wa mafuta na Gesi Zanzibar kwenye maeneo yenye mafuta na gesi kwenye maeneo ya Bahari ya Zanzibar

Waziri wa Uchumi wa Buluu na uvuvi Zanzibar Mh. Shaaban Ali Othman amesema ‘Maandalizi yote husika yanayohitajika ili Zanzibar kuanza kutoa vitalu (Maeneo) ya uwekezaji kwa ajili ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia yamekamilika hii ina maana kwamba sasa zanzibar iko tayari kwa duru ya kwanza utoaji vitalu na Lesseni katika maeneo ya baharini kwa wawekezaji wa mafuta na Gesi duniani Kote’ – Waziri wa Uchumi wa Buluu”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *