Zaiylissa ajitetea kumtosa Haji Manara

Muigizaji wa Filamu, Zaiylissa amesema kuwa sio kwamba alikataa kumpa mkono Haji Manara (Anadaiwa ni mpenzi wake kwa sasa) bali hakuona mkono huo na pia alikuwa naogopa sana kwani alikutanishwa na watu wengi.

Vipi unakubaliana na hichi anachosema mrembo huyu?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *