Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Yupo nje ya Nchi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, yuko nje ya nchi kikazi na kuwataka Watanzania kupuuza taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii.

Majaliwa amesema hayo katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma ulioko Mji wa Serikali, Mtumba, wakati akizungumza na washiriki na wadau mbalimbali kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu Duniani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *